Sunday, July 27, 2008

si kila anayeuza ni mjasiriamali

Ingawa nadharia ya ujasiriamali ina kipindi kirefu katika historia ya biashara tangu enzi za Castillo miaka ya 1680.Hadi leo hii bado kuna tofauti miongoni mwa wanazuoni juu ya nani hasa ni mjasiriamali.Wanazuoni kama Joseph Schuempeter,Marshal,Draker na Khanka ni miongoni mwa waliotoa tafsiri ya nani ni majasririamali.

Ni ukweli ulio wazi kuwa si kila anayeuza au mfanyabiashara ndogo ndogo ni mjasiriamali.Imekuwa ni 'fashion' kwa sasa nchini tangu nchi ijiunge katika mfumo unoangozwa na soko kwa kila muuzaji wa bidhaa na mtoaji wa huduma kujiita mjasiriamali.
Nchini mumko wa kukopesha wajasiriamali upo na mashirika mbalimbali ya kibnafsi na serikali hudai kujihusisha kutoa mikopo kwa wajasirimalia. Kuna benki kama NMB,NGO kama PRIDE(T), FEDA,MEDA na NEDF ikiwa chini ya SIDO ni miongoni mwa taasisi zinazomwaga mikopo kwa jina la 'wajasiriamali'.

Tangu kuanzishwa kwake NEDF(National Entepreneurship Development Fund) mwaka 1994 hadi mwaka 1999 iliweza kutoa mikopo ya bilioni 1.167. Ni wazi kuwa nazo NGO hazipo nyuma katika kutoa mikopo na elimu ya ujasiriamali.

Lakini lililowazi ni kuwa wengi wa wakopaji si wajasiriamali kama vile wanavyoitwa na kufahamika. Wengi wao huweza kujipatia mikopo iliyo maalumu kwa wajasiriamali huku wakiwa wala si wajasiriamali.
Ukweli huu unadhihirishwa na kile kinachoonekana kwa sasa sokoni kwa kushamiri kwa bidhaa toka nje ya Tanzania hasa Uchina. Hali hii inatokea huku mikopo ikiongezeka kumwaga kwa jina la wajasiriamali. Hapo ndipo tunapopaswa kujiuliza hivi kweli hawa wanaopata mikopo kwa kivuli cha 'ujasiriamali' ni kweli wajasiriamali? au ni wachuuzi?

Mikopo ya karibuni maarufu kama ya JK kuna wanaodai ni kwa ajili ya wajasiriamali na huku bado tukiona kuna wanaokopa wakiwa na nia ya kuuuza bidhaa za wachina. Kuuza bidhaa za Uchina si ujasiriamali.
Kama nilivyotangulia kusema kuwa kuna tofauti ya mawazo juu ya nani ni mjasiriamali miongoni mwa wanazuoni.

Na kutokana na hilo ni wazi kuwa nchini tunajikuta hatuna uhakika kama kuna tofauti kati ya mfanyabiashara ndogo nd
ngawa nadharia ya ujasiriamali ina kipindi kirefua katika historia ya biashara tangu enzi za Castillo miakaka ya 1680. Hadi leo hii bado kuna tofauti miongoni mwa wanazuoni juu ya anani kuwa ni mjasiriamali.Wanazuoni kama Joseph Schuempeter,Marshal,Draker na Khanaka ni miongoni mwa waliotoa tafsiri ya nani ni majasririamali.
Ni ukweli ulio wazi kuwa si kiala anayeuza au mafanyabiashara ndogo ndogo ni mjasiriamali.Imekuwa ni 'fasjhion' kwa sasa nchini tangu nchi ijiunge katika mfumo unoangozwa na soko kwa kila muuzaji wa bidhaa na mtoaji wa huduma kujiita mjasririamali.
Nchini mumakao wa kukopesha wajasriramalai upo na amshrika mabalimbali ya kibanfi na seriakali hudai kujihusisha kutoa mikopo kwa wajasirimali. Kuna benki akama NMB,NGO kama PRIDE(T), FEDA,MEDA na NEDF ikiwa chii ya SIDO ni miongoni mwa taasisi zinzomwaga mikopo kwa jina la 'wajasiriamali'.
Tangu kuanzishwa kwake NEDF(national Entrepreneurship Development Fund) mwaka 1994 hadi mwaka 1999 iliweza kutoa mikopo ya bilioni 1.167. Ni wazi kuwa nanzo NGO hazipo nyuma katika kuota mikopo na elimu ya ujasirimali.
lakini lililowazi ni kuwa wengi wa wakopaji sia wajasriamali kama vile wanavyoitwa na kufahamika. wengi wao huweza kujipatia mikopo iliyo maalumu kwa wajasriamali huku wakiwa wala si wajasiriamali.
Ukweli huu unadhihirishwa na kile kinachoonekkana kwa sasa somkoni kwa kushamiiri kwa bidhaa toka nje ya Tanzania hasa Uchina. Hali hii iantoakea huku mikopo ikiongezeka kumwaga kwa jina la wajasiriamali. hapo ndipo utnapopaswa kujiuliza hii kwlei hawa wanaopata mikopo kwa kivuli cha 'ujasiriamali' ni kweli wajasiriamali? au ni wachuuzi?
Mikopo ya karibuni ya maarufu kama JK kuna wanaodai ni kwa ajaili ya wajasriamalai na huku bado tukiona kuna wanaokopa wakiwa na nia ya kuuuza bidhaa za wachina. Kuuza bidhaa za Uchina si ujasiriamali.
kama nilivyotangulia kuseama kuwa kuna tofauti ya mazwazo juu ya anani ni amajsrirmali mioongoni mwa wanazuoni. Na kutoakana na hilo ni wzi kuwa nchini tuanajikuta hatuna uhakiaka kama kuna tofauti kati ya mafanyabiashara ndogo ndngawa nadharia ya ujasiriamali ina kipindi kirefua katika historia ya biashara tangu enzi za Castillo miakaka ya 1680. Hadi leo hii bado kuna tofauti miongoni mwa wanazuoni juu ya anani kuwa ni mjasiriamali.Wanazuoni kama Joseph Schuempeter,Marshal,Draker na Khanaka ni miongoni mwa waliotoa tafsiri ya nani ni majasririamali.

kama nilivyotangulia kuseama kuwa kuna tofauti ya mazwazo juu ya anani ni amajsrirmali mioongoni mwa wanazuoni. Na kutoakana na hilo ni wzi kuwa nchini tuanajikuta hatuna uhakiaka kama kuna tofauti kati ya mafanyabiashara ndogo ndgo na mjasiriamali. Hivyo basi kufanya mikopo kwa ajili ya wajasiriamali kumfikia kila mmoja hata yule asiye na sifa za ujasiriamali.
Gwiji wa nadharia za ujasiriamali Joseph Schumpeter katika kitabu chake , Economic Development cha mwaka 1934 anaweka wazi kuwa mjasiriamali aelezewi kwa kile anachomilki bali kile anachofanya na mhimili mkuu ni ubunifu.
Hili la ubunifu hupelekea kuzalishwa kwa bidhaa mpya,njia mpya za uzalishaji kugunduliwa, kutafutwa kwa masoko mapya na utumiaji wa rasilimali zinazomzunguka. Hivyo basi kama mjasiriamali utatumia nafasi ya kuwa na rasilimali zisizotumika katika jamii yake naye kuzipatia 'tija' ni wazi kuwa muagizaji wa bidhaa toka nje ya Tanzania tena akiwa ni mtanzania si mjasiriamali.
Kwa mfano kama kuna mtanzania anaagiza juisi kutoka nje ya tanzania huku nchini zaidi ya 60% ya matunda yanaoza mashambani kwa kukosa soko alafu huyo huyo akawa anapata mkopo na nafasi ya kushiriki warsha za kijasiriamali ni wazi kuwa hili ni kosa.
Hili lipo nchini na linatokea sana katika taasisi mbalimbali ya kuwa wanaopata mikopo na 'favour' kwa ajili ya wajasiriamali kuwa si wajasiriamali bali ni 'wachuuzi'. Hili linachangiwa kwa kiasi kikubwa kwa vile hatuna tafsiri sahihi kwa sasa ya nani ni mjasiriamali nchini.
Tafiti fulani iliyofanywa na Profesa Joseph Kuzilwa juu ya mchango wa NEDF-SIDO katika kukuza wajasiriamali nchini iligundua mikopo mingi iliyngawa nadharia ya ujasiriamali ina kipindi kirefua katika historia ya biashara tangu enzi za Castillo miakaka ya 1680. Hadi leo hii bado kuna tofauti miongoni mwa wanazuoni juu ya anani kuwa ni mjasiriamali.Wanazuoni kama Joseph Schuempeter,Marshal,Draker na Khanaka ni miongoni mwa waliotoa tafsiri ya nani ni majasririamali.
Ni ukweli ulio wazi kuwa si kiala anayeuza au mafanyabiashara ndogo ndogo ni mjasiriamali.Imekuwa ni 'fasjhion' kwa sasa nchini tangu nchi ijiunge katika mfumo unoangozwa na soko kwa kila muuzaji wa bidhaa na mtoaji wa huduma kujiita mjasririamali.
Nchini mumakao wa kukopesha wajasriramalai upo na amshrika mabalimbali ya kibanfi na seriakali hudai kujihusisha kutoa mikopo kwa wajasirimali. Kuna benki akama NMB,NGO kama PRIDE(T), FEDA,MEDA na NEDF ikiwa chii ya SIDO ni miongoni mwa taasisi zinzomwaga mikopo kwa jina la 'wajasiriamali'.
Tangu kuanzishwa kwake NEDF(national Entrepreneurship Development Fund) mwaka 1994 hadi mwaka 1999 iliweza kutoa mikopo ya bilioni 1.167. Ni wazi kuwa nanzo NGO hazipo nyuma katika kuota mikopo na elimu ya ujasirimali.
lakini lililowazi ni kuwa wengi wa wakopaji sia wajasriamali kama vile wanavyoitwa na kufahamika. wengi wao huweza kujipatia mikopo iliyo maalumu kwa wajasriamali huku wakiwa wala si wajasiriamali.
Ukweli huu unadhihirishwa na kile kinachoonekkana kwa sasa somkoni kwa kushamiiri kwa bidhaa toka nje ya Tanzania hasa Uchina. Hali hii iantoakea huku mikopo ikiongezeka kumwaga kwa jina la wajasiriamali. hapo ndipo utnapopaswa kujiuliza hii kwlei hawa wanaopata mikopo kwa kivuli cha 'ujasiriamali' ni kweli wajasiriamali? au ni wachuuzi?
Mikopo ya karibuni ya maarufu kama JK kuna wanaodai ni kwa ajaili ya wajasriamalai na huku bado tukiona kuna wanaokopa wakiwa na nia ya kuuuza bidhaa za wachina. Kuuza bidhaa za Uchina si ujasiriamali.
kama nilivyotangulia kuseama kuwa kuna tofauti ya mazwazo juu ya anani ni amajsrirmali mioongoni mwa wanazuoni. Na kutoakana na hilo ni wzi kuwa nchini tuanajikuta hatuna uhakiaka kama kuna tofauti kati ya mafanyabiashara ndogo ndgo na majasiriamali. Hivyo basi kufanya mikopo kwa ajioli ya wajasriamali kumfikia kila mmoja hata yule asiye na sifa za ujasiriamali.
Gwiji wa nadaraia za ujasriamali Joseph Schumpetyer katika kitabu chake , Economic Development cha mwaka 1934 anaweka wazi kuwa majasiramali aelezewi kwa kile anachomilki bali kile anachofanya na mhimili mkuu ni ubunifu.
Hili la ubunifu hupelekeka kuzalishwa waka bidhaa mpya,njia mpya za uzalishaji kugunduliwa, kutafutwa kawa masoko mapya na utumiaji wa rasilimali zinazomzunguka. Hivyo basi akama mjasiriamali utatumia nafasi ya kuwa na rasilimali zisizotumika akatika jamii yake naye kuzipatia 'tija' ni wazi kuwa muagizaji wa bidhaa toaka nje ya Tanzania tena akiwa ni mtanzania si mjasiriamali.
Kwa mafano akama kuna mtanzania anaagiza juisi kutoaka njea ya tanzania huku nchini zaidi ya 60% ya matunda yanaoza mashambani kwa kukosa soko alfu huyo huyo akawa anapata mkopo na nafasi ya kushiriki warsha za kijasiriamali ni wazi kuwa hili ni kosa.
Hili lipo nchini na linatokea sana katika taasisi mblimbali ya kuwa wanaopata mikopo na 'favour' kwa ajili ya wajasiriamali kuwa si wajasiriamali bali ni 'wachuuzi'. Hili lianachangiwa kwa kaisai kikubwa kwa viole hatuna tafsiri sasa kwa sasa ya nanin ni majsiriamali nchini.
Tafiti fulani iliyofanywa na Profesa Joseph Kuzilwa juu ya mchango wa NEDF-SIDO katika kukukuza wajasriamali nchini iligundua mikopo mingi kuoka mwaka 1994 hadi juni mwaka 1999 ilikuwa imeenda kwa watu ambao kwa kuzingatia ni nani kuwa ni mjasiriamali bali hata waaagizaji wa bidhaa toka nje ambazo zinazalishwa na watanzania kwa ubora wa juu walipata mikopo hiyo.
Haya ni makosa kama tunataka kuwajali wajasiriamali ni wazi kuwa yatupasa kuwatofautisha na wafanyabiashara ndogo ndogo. Ingawa ni kweli kuwa mjasiriamali ni mfanyabishara ndogo ndogo lakini si kila mfanyabiashara ndogo ndogo ni mjasiriamali.
Tusipokuwa na maana sahihi ya nani kuwa ni mjasiriamali leo, ni wazi kuwa baada ya muda tutakuwa badala ya kukazania kukua kwa ujasiriamali tutakuwa tumepigania 'waagizajiwa bidhaa toka uchina'
Si kama sipendi wapate mkopo ila kama kwa ajili ya wajasiriamali basi uwe kwa ajili yao na kwa kuzingatia hili tutakuwa kweli tunapigania kuiona Tanzania yenye wafanyaibiashara na wajasiriamali wa kweli.

tolewa mwaka 1994 hadi juni mwaka 1999 ilikiwa imeenda kwa watu amabo kwa kuzingatia ni nani kuwa ni mjasiriamali bali hata waaagizaji wa bidhaa toaka nje mabzo zinazlishwa na watanzania kwa ubora wa juu walipata mikopo hiyo.
haya ni makosa kama tuanataka kuwajali wajasiriamali ni wazi kuwa yatupasa kuwatofautisha na wafanyabiashara ndogo ndogo. Ingwa ni kweli kuwa majasiriamali ni mfanyabisahra ndogo ndogo lakini si kila mafanyabiashara ndongo ndogo ni mjasriamali.
Tusipokuwa na maana sahihi ya nani kuwa ni amjasiriamali leo, niwa zi kuwa baada ya muda tutakuwa badala ya kukkazania kukua kwa uajsriamali tuatakuwa tumepigania 'waagizajiwa bidhaa toaka uchina'
Si kama sipendi wapate mkopo ila kama kwa ajili ya wajasriamali basi uwe kwa ajli yao na kwa kuzingataia hili tutakuwa kwlei tuanpigania kuiona Tanzania yenye wafanyaibasahara na wajasrianamali wa kweli.
Mwandishi wa makala haya ni masomajim wa gazeti ala mtanzania napatiakana kwa barua pepe fagdas1980@yahoo.com
go na majasiriamali. Hivyo basi kufanya mikopo kwa ajioli ya wajasriamali kumfikia kila mmoja hata yule asiye na sifa za ujasiriamali.
Gwiji wa nadaraia za ujasriamali Joseph Schumpetyer katika kitabu chake , Economic Development cha mwaka 1934 anaweka wazi kuwa majasiramali aelezewi kwa kile anachomilki bali kile anachofanya na mhimili mkuu ni ubunifu.
Hili la ubunifu hupelekeka kuzalishwa waka bidhaa mpya,njia mpya za uzalishaji kugunduliwa, kutafutwa kawa masoko mapya na utumiaji wa rasilimali zinazomzunguka. Hivyo basi akama mjasiriamali utatumia nafasi ya kuwa na rasilimali zisizotumika akatika jamii yake naye kuzipatia 'tija' ni wazi kuwa muagizaji wa bidhaa toaka nje ya Tanzania tena akiwa ni mtanzania si mjasiriamali.
Kwa mafano akama kuna mtanzania anaagiza juisi kutoaka njea ya tanzania huku nchini zaidi ya 60% ya matunda yanaoza mashambani kwa kukosa soko alfu huyo huyo akawa anapata mkopo na nafasi ya kushiriki warsha za kijasiriamali ni wazi kuwa hili ni kosa.
Hili lipo nchini na linatokea sana katika taasisi mblimbali ya kuwa wanaopata mikopo na 'favour' kwa ajili ya wajasiriamali kuwa si wajasiriamali bali ni 'wachuuzi'. Hili lianachangiwa kwa kaisai kikubwa kwa viole hatuna tafsiri sasa kwa sasa ya nanin ni majsiriamali nchini.
Tafiti fulani iliyofanywa na Profesa Joseph Kuzilwa juu ya mchango wa NEDF-SIDO katika kukukuza wajasriamali nchini iligundua mikopo mingi kuoka mwaka 1994 hadi juni mwaka 1999 ilikiwa imeenda kwa watu amabo kwa kuzingatia ni nani kuwa ni mjasiriamali bali hata waaagizaji wa bidhaa toaka nje mabzo zinazlishwa na watanzania kwa ubora wa juu walipata mikopo hiyo.

Kufurika kwa viatu kutoka Asia ni kitanzi

“BAHILI hapendezi! Wanavaa! Elfu moja mia tano! Mpende mkeo! Mpende mwanao…!”

Ni maneno ya wapiga debe, wachuuzi wa viatu kuanzia vya watoto na watu wazima.

Wapiga debe wamejaa katika maeneo mbalimbali ya masoko maarufu ya Mchikichini, Tandika, vituo vya daladala vya Ubungo na Buguruni hasa nyakati za jioni. Mchana hawaonekani wanaogopa mgambo wa jiji.

Viatu vinavyouzwa kwa sh 1,500 ni vipya, vinatoka katika nchi za Asia, hasa China, Thailand na Indonesia. Bei yake huwa haipungui, kwani ni bei ya debe.

Viatu hivi vinauzwa vikiwa vimemwagwa chini. Mteja huwa anachagua anachokitaka.

Kuna vya bei zaidi ya hii, kuanzia sh 1,500. Hakika kila Mtanzania wa kundi la chini, kati na juu katika jamii wamachinga wako tayari kumpatia kiatu na mtindo anaohitaji.

Hakuna ubishi ya kwamba kwa sasa watu wa Asia wanatuvika kwa kila kitu. Na wengi wetu tu nadhifu kwa gharama ndogo sana.

Nia ya serikali ni kuona kila Mtanzania anavaa viatu vya bei rahisi, imefanikiwa kwa kiasi fulani nchini na hasa katika siku za karibuni viatu hivi vipya vimekuwa ni vya gharama nafuu kuliko hata mitumba toka Ulaya na Amerika.

Lakini lengo hili linakinzana na jitihada za kufufua viwanda vya ngozi na viatu vya ndani. Takwimu zinaonyesha zaidi ya asilimia 80 ya viatu na bidhaa zingine za ngozi ama halisi au feki, huagizwa kutoka Asia.

Hii ni hatari kwa ukuaji wa viwanda vya viatu kwani soko la ndani tayari limechukuliwa na Waasia.

Soko la Tanzania sasa limejawa na bidhaa za viatu kutoka Asia kuanzia maeneo ya mijini hadi mashambani.

Kwa watu wengi kutembea bila viatu labda kama umeamua. Swali la kujiuliza, ni je, kufurika huku kwa viatu kutoka Asia na hasa China ni ukombozi au kitanzi kwa viwanda vyetu vya ngozi na viata?

Bidhaa zetu mara zote zimeshindwa kuingia katika masoko ya nje kwa kigingi cha kukosa ubora.

Lakini sisi tumeendelea kupokea viatu hivi kutoka Asia na wala si kwamba vina ubora wa hali ya juu kuliko vya nyumbani, hapana.

Matukio ya kuvunjika visigino na kubanduka kwa soli ni jambo la kawaida kwa viatu kutoka Asia. Kina Dada wengi ni mashahidi wa kadhia hii. Lakini hakuna anayeweza kuzuia viatu hivi kuwa na ubora wa chini.

Makala hii itajaribu kutupia jicho ujio huu wa viatu na mkakati wa sasa wa serikali wa kutaka kuona sekta ya mifugo inachangia vilivyo katika pato la taifa na hatimaye kuwezesha kuchangia katika kupunguza umasikini nchini.

Viatu hivi vilivyofurika kwa sasa katika soko la Tanzania ni vya nusu plastiki na nusu ngozi. Hivyo basi kufanya visiwe vinatumia kabisa rasilimali ya ngozi.

Tanzania ni nchi ya kwanza kwa idadi kubwa ya mifugo katika nchi za SADC na ni ya tatu katika Afrika.

Mara baada ya uhuru kulikuwa na viwanda viwili vikubwa vilivyokuwa vikitengeza viatu navyo ni BORA na MORO Shoes Company vilivyokuwa chini ya Serikali.

Viwanda hivi kwa sababu mbalimbali vilishindwa kujiendesha.

Kufuatia mabadiliko ya uchumi yaliyotokea miaka ya 1985, ilisababisha miaka ya 1990 sekta ndogo ya viwanda vya viatu kupata msukumo mpya uliosababisha kubinafsishwa kwa viwanda hivyo viwili na kuanzishwa kwa viwanda vingine vipya kama vile Lexman cha Arusha, Nyanza Shoes cha Mwanza, Shah cha Moshi, Liberty, Chelsea, Italshoes, Ok Plastics, Ladha Industries na Noble Industries vya Dar es Salaam.

Pia viwanda vya kuzalisha ngozi kwa ajili ya kutengenezea viatu vilichipua nchini. Na inakadiriwa kuwa viwanda vidogo vya kati na vikubwa vipatavyo 30, vilifunguliwa, vikiwa na uwezo wa kuzalisha futi za eneo milioni 30.

Vingi ya viwanda hivi vya ngozi na viatu leo hii vimefungwa. Si kama hakuna malighafi la hasha! Ngozi ipo nchini na inaendelea kusafirishwa kupelekwa katika masoko ya nje na hasa India.

Wale waliokuwa wamefungua viwanda vya viatu sasa wamegeuka kuwa waagizaji wa viatu toka China.

Si kama wamependa, hapana ila ni hali ya soko ndiyo inawafanya wao watafute pa kujishika ili kujipatia riziki.

Kilio kimekuwa katika kodi na sera mbovu za soko huria zinazokumbatiwa na serikali yetu kwa kuwafurahisha watawala wa Washington na Downing Street.

Mafundi wadogo wadogo wa viatu wanaoendesha biashara zao katika baraza za nyumba na ofisi zingine ndogo, ndio wanaoendelea kuzalisha viatu.

Hawa nao wanachechemea wanasubiri tu muda na wakati ukifika wajiondokee.

Kinachowafanya wabaki ni kwa vile wanaweza kujibadili kwa kufanya kazi za kukarabati vile vilivyo chakaa na kung’arisha.

Lakini hali ya soko haipendelei wao wawepo hata kidogo.

Utafiti fulani uliofanywa na Profesa Joseph Kuzilwa na Dk. Andrew Mbwambo mwaka 2004, unaonyesha mafundi wadogo wanaojishughulisha na kutengeneza viatu kwa sasa huagiza ngozi kutoka Kenya na Zambia. Haya yote yanatokea katika nchi ambayo inaongoza kwa idadi kubwa ya mifugo.

Takwimu haziko wazi kuweza kujua ni Watanzania wangapi wameingia katika umasikini kutokana na kufungwa kwa viwanda hivi vya uzalishaji wa ngozi na viatu.

Lakini katika zoezi rahisi unaweza kuhisi kuwa kufurika huku kwa viatu kutoka Asia si ukombozi ila kitanzi kwa uchumi wa Tanzania na Watanzania kwa ujumla.

Ili Tanzania iweze kwenda sambamba na lengo lake la kutaka kuona sekta ya mifugo inachangia vilivyo katika pato la taifa ni lazima ihakikishe inalinda viwanda vya ndani vinavyozalisha ngozi na pia vile vinavyotengeneza viatu.

Soko la ndani lazima lilindwe kwa maslahi ya viwanda hivi na nchi kwa ujumla.

Serikali lazima ifanye kwa vitendo suala la kuwapunguzia gharama za uzalishaji hasa umeme na kodi ili kuwajengea uwezo na huku tukiweka kodi kubwa kwa viatu toka nje.

Nia ikiwa kuvijengea uwezo viwanda vyetu vya ndani. Kama tunaweza kusamehe kodi kwa wawekezaji wakubwa wa migodi kwa zaidi ya miaka 25, nini kinatufanya tushindwe kuwapa hawa wa viwanda vya viatu likizo ya kodi!

Mazao ya sekta ya mifugo ni nyama, maziwa, ngozi na samadi. Kwa sasa nchini kuna juhudi za kuboresha machinjio ili kupata ngozi bora na ujenzi wa majosho.

Uhimizaji wa ufugaji wa kisasa miongoni mwa jamii za wafugaji. Lengo likiwa kupata mazao bora. Hakika juhudi hizi si za kubezwa hata kidogo.

Ili mazao haya yawe na manufaa kwa wafugaji wa Tanzania ni lazima viwanda vinavyosindika malighafi hizi vilindwe katika kutumia soko la ndani.

La sivyo tutakuwa watu wakupokea misaada kila siku kutoka kwa wahisani. Shime watawala tungeni sera zenye kulinda viwanda vyetu hasa katika kufaidi soko la ndani.

Mwandishi wa makala hii anapatikana kwa barua pepe: fagdas1980@yahoo.कॉम
माकला हया क्वा हिसनी या फ्री मीडिया वामिलिकी गजेती ला म्तान्ज़निया डैम