Friday, August 3, 2012

mafunzo

MAFUNZO YA HUDUMA KWA WATEJA KWA WAHUDUMU KATIKA SEKTA YA HUDUMA Walengwa Wahudumu na mameneja wa hoteli , wahudumu wa nyumba za kulala wageni, wauzaji wa vileo (bar staffs), wauzaji wa vyakula (restaurant staffs) na madereva. Uendeshaji wa Mafunzo Mafunzo yataendeshwa kwa masaa matatu kwa siku kwa muda siku wa siku mbili katika maeneo ya kazi (washiriki hawataondoka katika maeneo yao ya kazi). Mafunzo yataendeshwa kwa Kiswahili. Washiriki watapewa notisi, peni na note pad. Mada zitakazofundishwa • Umuhimu wa mteja kwa maendeleo ya biashara • Mawasiliano katika biashara • Mbinu bora za mawasiliano kwa simu • Mbinu za kuboresha uhusiano na wateja • Mbinu za kumfanya mteja awe mtiifu • Jinsi ya kushughulikia malalamiko ya wateja • Kuvunja uhusiano na mteja kwa ‘FURAHA’ Kwa mawasiliano piga simu namba: 0713 757 157, barua pepe: nandonde@gmail.com