Lengo kuu la blogu hii ni kujadili hali ya mwenendo wa kibiashara ya kiulimwengu, kikanda au maamuzi ya nchi kwa wajasiriamali wa Tanzania.
Saturday, January 12, 2013
UJASIRIAMALI
washiriki wa semina ya wiki mbili ya ujasiriamali, iliyoandaliwa na AICAD na kufanyika katika CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE (SUA) mkoani MOROGORO, ICE. Mafunzo yalianza tarehe 7/01/-19/01/2013
Tunakaribisha maoni, ushauri, na michango mbalimbali.
Ni matumaini yangu pia hamtasita kukosoa pale penye walakini na kunipa mwanga huku tukiboresha.
Na amini kukosolewa ni maboresho ya kazi husika, hivyo karibuni sana.Pamoja tunaweza.
nandonde@gmail.com
No comments:
Post a Comment