Wednesday, June 2, 2010

kigezo ni umri au utashi?

Uchaguzi mkuu wa rais na wabunge unakaribia katika Tanzania,kila kona kunatoka hoja na vioja. Kwa hakika kila mmoja anafaidi uhuru wake wa kuongea. Ndiyo demokrasia.
Katika maongezi hayo kuna kioja cha vijana wengi kujinadi kwa hoja ya umri na 'kuomba' wazeee wa wawapishe.
Hakika hiki ni kihoja, na wala si hoja kwani............................. fuatilia makala hii itakayotoka hivi karibuni.

3 comments:

Unknown said...

wazee wameanza jujitoa hasa ukiangalia katka kikao hiki cha bunge mzee mzindakaya kimiti, na keenja kutokana na umri kuwtupa mkono wameamua kujitoa na kuawachia vijana wajaribu kutumia nguvu na akili pevu walizinazo kuleta maendeleo ktk Tanzania changa

LIPENDE said...

Tatizo kwa nchi nyngi changa Wazee wameshindwa kuonyesha Utashi wao kwa umri waliokuwa nao ,Zaidi ya umri unavyozidi kwenda uadilifu ,uaminifu na Upendo unaisha.Na ndio maana Vijana wameibuka na Kigezo hiki .watu wamepoteza Uaminifu kwa Wazee wao